• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Makundi ya CECAFA U-20 yatajwa

  (GMT+08:00) 2019-09-18 09:05:39

  Timu ya Tanzania kwa wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) imepangwa kundi B katika michuano ya Afrika Mashariki ya CECAFA mwaka huu yatakayofanyika Uganda yatakayoanza Septemba 21.

  Tanzania imepangwa na Kenya na Zanzibar, wakati kundi A kuna wenyeji Uganda, Sudan, Djibouti na Eritrea na kundi C kuna Burundi, Sudan Kusini na Somalia.

  Kwa mujibu wa ratiba, timu tatu za juu kutoka kundi A na B zitasonga mbele hatua ya robo fainali na kuungana na timu mbili kutoka kundi C.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako