• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatuma walinda amani 163 nchini Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2019-09-18 09:38:53

  Walinda amani 163 wa China wameondoka Beijing kwenda Sudan Kusini kutekeleza jukumu la mwaka mmoja.

  Walinda amani hao wanaoundwa na timu ya askari wahandisi 130 na kitengo cha matibabu chenye watu 33, ni kikundi cha kwanza kwenye batalioni yenye askari 331 kinachotumwa na China kwa ajili ya kazi hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako