• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zambia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Afrika kuhusu usajili wa raia

  (GMT+08:00) 2019-09-18 09:39:19

  Zambia na Umoja wa Afrika wamesaini makubaliano yanayoiruhusu Zambia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia usajili wa raia na takwimu muhimu ambao utafanyika kuanzia Oktoba 14 hadi 18.

  Mjumbe wa kudumu wa Zambia kwenye Umoja wa Afrika Emanuel Mwamba amesema, usimamizi wa usajili wa raia ni sharti muhimu katika kutimiza kusafirisha bidhaa kwa uhuru na utoaji wa huduma barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako