• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa Iran asisitiza nchi yake haitafanya mazungumzo na Marekani

  (GMT+08:00) 2019-09-18 09:39:46

  Kiongozi wa Iran Ali Khamenei jana alisisitiza kuwa, Iran haitafanya mazungumzo ya ngazi yoyote na Marekani.

  Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika la habari la kiserikali la nchi hiyo, Khamenei amesisitiza kuwa Marekani imekuwa na matumaini ya kufanya mazungumzo na Iran ili kuilazimisha Iran ipokee nia yake, na kuthibitisha kuwa uwekaji wa mashinikizo utafanya kazi. Hata hivyo amesema mashinikizo hayo yaliyowekwa na Marekani hayana maana yoyote kwa Iran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako