• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wafunguliwa

  (GMT+08:00) 2019-09-18 09:40:11

  Mkutano wa 74 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ulifunguliwa jana kwenye Umoja wa Mataifa huko New York. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni "kuhamasisha juhudi za pande nyingi kupunguza umasikini, na kuhimiza elimu yenye ubora wa juu, operesheni ya hali ya hewa na ushirikishi".

  Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, mwenyekiti wa Mkutano wa 74 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa Tijjani Muhammad-Bande pamoja na wajumbe wa kudumu wa nchi mbalimbali kwenye Umoja huo wamehudhuria ufunguzi wa mkutano huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako