• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Japan yaeleza kusikitishwa na kitendo cha Korea Kusini kuiondoa kwenye orodha ya nchi zenye upendeleo

    (GMT+08:00) 2019-09-18 19:34:16

    Serikali ya Japan imeuelezea uamuzi wa serikali ya Korea Kusini kuiondoa kwenye orodha ya nchi zenye upendeleo kuwa ni jambo la "kusikitisha sana" na linahitaji maelezo zaidi.

    Msemaji wa serikali ya Japan amesema Japan inaamini kuwa haijapewa maelezo ya kutosha kuhusu sababu ya kuondolewa kwenye orodha hiyo.

    Uamuzi wa Korea Kusini unafuatia uamuzi kama huo wa Japan uliofanyika mwezi uliopita.

    Korea Kusini imekuwa nchi ya kwanza kuondolewa kwenye orodha hiyo, ambayo inamruhusu nchi hiyo kuagiza vitu mbalimbali ambavyo vinaweza kuhamishiwa kwenye matumizi ya kijeshi.

    Mwaka 2004 Korea Kusini ilikuwa nchi inayoweza kuuza bidhaa zake kwa Japan kwa kufuata utaratibu rahisi wa forodha, isipokuwa kwa bidhaa za chakula, mbao na nyinginezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako