• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Euro billion 44 zatolewa na Hispania kwa nchi 10 za Afrika

    (GMT+08:00) 2019-09-18 19:40:05

    Hispania imetenga Euro 44 bilioni zitakazotekeleza miradi mbalimbali katika nchi kumi za Afrika.

    Baadhi ya nchi zitakazonufaika na mpango huo ni Afrika ya Kusini, Ethiopia, Senegal, Nigeria na Ghana.

    Mkurugenzi mkuu wa Umoja wa Ulaya katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Hispania, Raimundo Rubio amesema mpango huo ni wa tatu kwa Afrika.

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema katika mpango huo,utaanza na mradi wa maji wilayani Mbozi na kufuatiwa na vijiji 12 Mkoa wa Iringa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako