• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • MPIRA WA MIKONO (HANDBALL): DR Congo yapoteza kwa Guinea

    (GMT+08:00) 2019-09-19 09:00:27

    Timu ya taifa ya mpira wa mikono ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 17 ya DRC imechezea kichapo toka kwa timu ya taifa ya wanawake wenye umri huo ya Guinea kwa umla ya magoli 22-19 katika mchezo wa pili wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani.

    DRC itakutana na Nigeria kabla ya kukutana na Misri jumamosi na Tunisia Jumapili ya wikiendi hii na kukamilisha hatua ya makundi kwa kumenyana na Angola Jumanne Septemba 24.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako