• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Taifa Stars yaanza mazoezi, kukipiga na Sudan jijini Dar

    (GMT+08:00) 2019-09-19 09:01:28

    Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) dhidi ya Sudan utakaochezwa mwishoni mwa wiki hii uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam Tanzania.

    Timu itakayopata matokeo mazuri baada ya mechi ya nyumbani na ugenini itafuzu hatua ya makundi. Akizungumza na wanahabari, afisa wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Clofford Ndimbo amesema baadhi ya wachezaji wameshawasili kambini kwa maandalizi ya mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako