Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhifadhi Mazingira (Unep) ambayo ilifuatilia mienendo ya nishati safi inaonyesha kuwa Kenya iliipiku Misri,UAE,Jordan na Rwanda ili kuungana na maeneo makuu sita ya nishati safi.
Kenya ilishindwa na Afrika Kusini na Morocco ambazo zilivutia uwekezaji wa $4.1 bn (KSh426 billion) na $3.1 bn (KSh322 billion) mtawalia.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |