• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza yaanza kurejesha nyumbani walioathiriwa na kufilisoka kwa Thomas Cook

    (GMT+08:00) 2019-09-24 16:52:02
    Serikali ya Uingereza imeanza kusafirisha abira walioathirika na kufilisika kwa kampuni ya utalii ya Thomas Cook.

    Serikalihiyo imesema itaendesha zoezi hilo kwa wiki mbili ili kuwarejesha watalii 155,000 nyumbani, ambao walikuwa wamelipia tiketi za ndege kupitia kampuni hiyo.

    Thomas Cook ilitangaza kufilisika Jumatatu, ikikumbwa na matatizo ya kifedha,

    Kufilisika kwa kampuni hiyo kumewaacha zaidi ya watu 21,000 bila ajira.

    Thomas Cook ilianzishwa mwaka 1841.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako