• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini: Sudan Kusini kuanda mkutano wa pili wa mafuta na gesi

    (GMT+08:00) 2019-09-24 16:52:21
    Sudan kusini itandaa mkutano wa gesi na mafuta ikilenga kuvutia wawekezaji.

    Waziri wa petroli nchini humo Awow Daniel Chuang, amesema mkutano huo wa tatu ni ishara ya kuendelea kurejea kwa usalama na hali zuri ya kisiasa nchini humo.

    Mwezi Agosti waziri huyo alitangaza kuwa Sudan Kusini imegundua eneo leye mapipa milioni 300 ya mafuta.

    Asilimi 60 ya uchumi wa Sudan Kusini hutegemea mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako