• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Uganda kufufua mgodi wa Kilembe

  (GMT+08:00) 2019-09-24 16:53:50

  Serikali ya Uganda inaharakisha mchakato wa kutafuta mwekezaji wa kufufua mgodi wa Shaba wa Kilembe magharibi mwa nchi hiyo.

  Ripoti ya tume ya jiolojia na madini nchini humo imesema inakaribia kukamilisha machakato huo ili kuanza upya uchimbaji ambao ilisimamishwa tangu mwaka 1982.

  Naibu kamishena wa tume hiyo Data Gabriel, amesema baraza la mawaziri wizra ya fedha, sheria na kampuni ya Kilembe Mines Limited zitaendesha mchakato huo.

  Mgodi wa Kilembe una takriban tani milioni 4 za chupa cha pua n uliendesha na kampuni ya Falconbridge ya Canada miaka ya sabini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako