• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China imekuwa nchi salama zaidi duniani

  (GMT+08:00) 2019-09-25 19:50:50

  China imekamilisha kimsingi mfumo wa sheria wenye ujamaa wenye umaalum wa China. Utekelezaji wa sheria na mahakama unafuata kanuni kwa makini, na kutekeleza kwa pande zote mfumo wa kurekodi mchakato mzima wa utekelezaji wa sheria na kutangaza moja kwa moja kesi zinazosikilizwa mahakamani kwenye mtandao wa Internet, ili kuhakikisha uwazi wa shughuli husika.

  China inapambana kithabiti na uhalifu, na katika miaka ya hivi karibuni kiwango cha matukio ya mauaji yanayotokea kati ya watu laki moja ni chini ya 1, na China imekuwa moja ya nchi salama zaidi duniani.

  Kutawala nchi kwa kufuata sheria ni njia ya lazima inayotimiza amani na utulivu wa nchi, kazi mbalimbali za jamii ya China zimehusishwa katika njia ya kisheria. China kutawala nchi kwa kufuata sheria kunahakikisha maslahi yote halali ikiwemo maslahi ya wafanyabiashara wageni, huku ikiwaadhibu wahalifu wote na kuhakikisha utulivu wa kudumu wa jamii.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako