• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China ina marafiki kote duniani kutokana na kushikilia maendeleo ya amani na ushirikiano wa kunufaishana

  (GMT+08:00) 2019-09-26 18:40:23

  Jamhuri ya watu wa China imeanzisha uhusiano wa kibalozi na nchi zaidi ya 170 duniani, huku ikijiunga kwa pande zote na mashirika makuu ya kimataifa kati ya serikali na kuanzisha uhusiano 109 wa kiwenzi.

  Msemo wa kichina unasema, "ukitenda kwa haki, utapata msaada zaidi". Mafanikio ya kidiplomasia iliyopata China katika miaka 70 iliyopita, yanatokana na kushikilia maendeleo ya amani na ushirikiano wa kunufaishana. Pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" lililotolewa na China limepata majibu mazuri ya nchi na mashirika zaidi ya 160 ya kimataifa kutokana na kanuni za usawa na kunufaishana. Kutotumia nguvu kunyanyasa nchi dhaifu, na kutofanya umwamba kumeiwezesha China kupata marafiki wengi zaidi na marafiki wa kweli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako