• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • CMG yaanzisha marekebisho ya maendeleo yenye sifa ya juu kwa pande zote

  (GMT+08:00) 2019-09-26 18:41:08

  Kituo kikuu cha redio na televisheni cha China CMG kimeanzisha marekebisho ya maendeleo yenye sifa ya juu kwa pande zote.

  Mhusika mkuu wa CMG amesema, marekebisho hayo ya pande zote yanalenga kutekeleza mwongozo uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa kazi za kituo kikuu hicho, kuharakisha hatua muhimu za kuhimiza maendeleo ya kina ya muungano wa vyombo vya habari vya aina tofauti, na kujenga vyombo vikuu vya habari vya kiwango cha juu cha kimataifa, ambayo pia ni ukaguzi wa kufanikisha kuripoti sherehe ya siku ya taifa kwa nguvu zote.

  Imefahamika kwamba marekebisho hayo ya pande zote zinahusisha chaneli 19 za televisheni, matangazo ya vituo vya redio 17 vya ndani, matangazo ya redio za lugha 44 za kigeni, majukwaa makuu ya New Media, tovuti 3 kuu za habari na app za habari za CCTV.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako