• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yaingiza kwa mara ya kwanza matangazo ya 4K kwenye majumba ya kuonesha filamu

  (GMT+08:00) 2019-09-27 19:39:56

  Skrini ya moja kwa moja itakayoandaliwa na Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha China CMG kuhusu "Kusherehekea kwa pamoja Maadhimisho ya Miaka 70 tangu kuasisiwa kwa China mpya" itatangazwa kwa wakati mmoja katika majumba ya filamu kote nchini China wakati wa Siku ya taifa la China.

  Hii ni mara kwanza kwa China kuingiza matangazo ya 4K kwenye majumba ya kuonesha filamu kupitia satelaiti. Wakati huo watazamaji wa mikoa kadhaa nchini watashuhudia sherehe kubwa ya sikukuu ya taifa kwenye majumba ya filamu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako