• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi kushiriki siku ya mashujaa na kuweka shada la maua kwa mashujaa waliokufa

    (GMT+08:00) 2019-09-28 17:18:38

    Rais wa China Xi Jinping pamoja na viongozi wengine wa taifa na chama cha CPC, wataungana na wawakilishi kutoka hali mbalimbali za maisha kuweka mashada ya maua kwa mashujaa waliofariki asubuhi ya Septemba 30, ambayo ni siku ya mashujaa.

    Kwa mujibu wa taarifa tukio hilo ambalo linafanyika huku China ikisherehekea miaka 70 ya kuanzishwa kwake, litafanyika Uwanja wa Tian'ánmen na kutangazwa mubashara na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako