• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wa Uingereza waunga mkono ahadi ya waziri mkuu kuhusu Brexit

    (GMT+08:00) 2019-09-30 09:45:14

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson jana ameanzisha mjadala kuhusu Uingereza kujitoa kutoka Umoja wa Ulaya (Brexit), akisema kuwa Uingereza itaondoka Umoja wa Ulaya mwezi ujao licha ya azimio la bunge linalomlazimisha kutafuta kuahirisha mchakato huo iwapo makubaliano yoyote hayatafikiwa.

    Katika ufunguzi wa mkutano huo, mawaziri walitoa hotuba ya kuunga mkono uamuzi wa Bw. Johnson kuhusu kumaliza uanachama wa Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya itakapofika Oktoba 31.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako