• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Mgao wa soko wa Safaricom wapungua

  (GMT+08:00) 2019-10-01 19:25:49

  Mgao wa soko wa kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nchini Kenya imeshuka hadi asilimia 65.5 katika mwaka uliokamilika mwezi Juni.

  Taakwimu za mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya zinaonyesha kuwa upungufu huo ni mkubwa kuwahi kutokea ndani ya miaka 10.

  Hata hivyo kampuni hiyo inasalia kuwa yenye wateja wengi zaidi ikiwa na milioni 31.8.

  Kampuni ya Airtel nayo ilikuwa na ongezeko la wateja milioni 3.1 wakifikia kwa jumla milioni 12.8 na mgao wa soko wa asilimia 24.6.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako