• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa msimamo kuhusu kurejeshwa kwa mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-10-03 08:39:29

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying akijibu maswala kuhusu kurejeshwa kwa mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na Marekani, amesema China inakaribisha msimamo wa Korea ya Kaskazini na Marekani kuhusu kurejesha mazungumzo kati yao, ikitumai kuwa pande hizo mbili zitachukua fursa kuhimiza mazungumzo hayo kupata maendeleo mapya. Pia amesisitiza kuwa China siku zote inaunga mkono mazungumzo kati ya Korea Kaskazini na Marekani, na kutatua suala la Peninsula ya Korea kwa njia ya kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako