• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda nishati ya jua imepokea dola mlioni 9 kupiga jeki mradi huo

  (GMT+08:00) 2019-10-04 18:10:12
  Matarajio ya nishati ya Rwanda yalipata ongezeko la kifedha na Global Innovation Lab for Climate Finance ambayo itaharakisha kupelekwa kwa mifumo ya nishati ya jua.

  Rwanda inakusudia kuunganisha nyumba 300,000 kila mwaka na nishati kama inataka kufikia lengo la mwaka 2024.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako