• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: serikali inawezesha vijana katika ukulima 

  (GMT+08:00) 2019-10-04 18:10:28
  Rais Uhuru Kenyatta amesema serikali inachukua hatua za kuhakikisha kuwa kizazi kipya cha wakulima kinaibuka ili kuendeleza sekta ya kilimo nchini.

  Rais amesema kuna haja ya kuhakikisha uimara wa sekta ya kilimo kwa kuhamasisha ushiriki wa vijana wa taifa kupitia teknolojia na uvumbuzi.

  serikali za inahamasisha vijana kuchukua kilimo.

  Rais amesema vijana 300 tayari wanaendelea kupata mafunzo nchini Israeli tangu mwaka 2016, kama sehemu ya mpango wa serikali wa kujenga uwezo wa kuwawezesha na kuwatia moyo vijana kuchukua kilimo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako