• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Zambia imesema ilikuwa imetia saini makubaliano ya kuuza nje tani 600,000 za mahindi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka mwaka ujao.

  (GMT+08:00) 2019-10-04 18:11:16
  Serikali ya Zambia imesema ilikuwa imetia saini makubaliano ya kuuza nje tani 600,000 za mahindi kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka mwaka ujao.

  Waziri wa Kilimo wa Zambia Michael Katambo amesema mpango uliosainiwa Lusaka kati ya serikali hizo mbili utafikia bidhaa zingine.

  Bwana Katambo ameongeza kuwa makubaliano hayo yatashughulikia maswala yanayohusu vizuizi vya usafirishaji na kupata fedha za kigeni.

  Kwa upande wake waziri wa Kongo wa biashara ya kitaifa na mauzo Jean Lucien Bussa amesema nchi hizo mbili zinaweza kukuza biashara kwa kutumia mipaka yao kubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako