• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyombo muhimu vya habari na jumuiya ya HK yaunga mkono Mkoa huo kutoa sheria ya kupiga marufuku Barakoa

    (GMT+08:00) 2019-10-07 08:53:45

    Ofisa Mkuu wa Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong Bibi Carrie Lam ameamua kutunga sheria ya kupiga marufuku barakoa maandamanoni iliyoanza kufanya kazi tarehe 5 kwa kufuata Sheria za Dharura, na kuungwa mkono na vyombo muhimu vya habari na jumuiya ya mkoa huo.

    Gazeti la Ta Kung Pao la Hong Kong imetoa ripoti husika kwenye ukurasa wa mbele na kudhihirisha kwamba hii ni hatua muhimu ya kumaliza vurugu na kurejesha utulivu, na kusaidia kuzuia vijana kwenda kinyume na sheria na kuonyesha jukumu la serikali inayowajibika.

    Wakati huohuo gazeti la Wen Wei Po na gazeti la biashara la Hong Kong, jumuiya nyingine nyingi wametoa maoni ya kuunga mkono hatua hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako