• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meneja mkuu wa Timu ya Houston Rockets anapaswa kuomba radhi kwa wachina

    (GMT+08:00) 2019-10-07 16:44:18

    Meneja mkuu wa Timu ya Houston Rockets ya Marekani Karen Morey amewasifu watu wanaotumia nguvu za kimabavu mkoani Hongkong kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii, kitendo kilicholaaniwa vikali na China.

    Ubalozi mdogo wa China huko Houston umelalamikia hatua ya kiongozi wa timu hiyo, huku Shirikisho la mpira wa kikapu la China, Idara ya Michezo ya Kituo kikuu Kikuu cha Utangazaji cha China (CMG) zikitangaza kusimamisha mawasiliano na ushirikiano na klabu hiyo. Mbali na hayo, makampuni yanayotoa ufadhili kwa ajili ya timu hiyo nchini China.

    Morey na Timu ya Houston Rockets zote zinapaswa kutambua kihalisi madhara ya kauli hiyo kwa wachina, na wanapaswa kuwaomba radhi wachina, ili kuondoa athari mbaya zinazoweza kutokea kufuatia kauli ya Morey.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako