• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China awaandikia barua wazee wa Macao

    (GMT+08:00) 2019-10-07 17:28:43

    Rais Xi Jinping wa China amewaandika barua wazee 30 wa timu ya kujitolea ya shirikisho la mitaa la Macao, ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu ya jadi ya wazee nchini China, akiwapa salamu za siku hiyo na kuwatakia afya njema na maisha mazuri.

    Rais Xi amesema anatumai wazee hao watawaambia vijana hadithi za kabla na baada ya kurudi kwa Macao, kuwahimiza kuwa na moyo wa uzalendo na kuipenda Macao. Pia kujihusisha katika ujenzi wa eneo kubwa la ghuba la Guangdong, Hong Kong, Macao, na kushirikiana katika kuifanya Macao iwe nzuri zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako