• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 300 wakamatwa katika siku ya kwanza ya machafuko London

    (GMT+08:00) 2019-10-08 09:10:49

    Polisi mjini London wamesema watu karibu 300 wamekamatwa katikati ya mji huo katika siku ya kwanza ya maandamano ya umma yaliyoitishwa na kundi la Extinction Rebellion, linalotaka kuchukuliwa kwa hatua zaidi za dharura dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Kundi hilo limesema maandamano hayo makubwa yataendelea kwa wiki mbili. Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametaka polisi kutumia kikamilifu sheria dhidi ya waandamanaji hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako