• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raundi mpya ya mazungumzo ya biashara kati ya China na Marekani kufanyika Alhamisi

  (GMT+08:00) 2019-10-08 09:13:44

  Kufuatia mwaliko wa upande wa Marekani, naibu waziri mkuu wa China Bw. Liu He ataongoza ujumbe wa China ziarani mjini Washington kuhudhuria raundi mpya ya mazungumzo ya ngazi ya juu ya kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili kuanzia tarehe 10 hadi 11 mwezi huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako