• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • ERA yapunguza malipo ya umeme

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:57:24
  Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini Uganda ERA imepunguza ada ya umeme kwa shilingi 2.4 katika robo ya mwisho ya mwaka huu.

  Punguzo hilo litakuwa kwa watumiaji wote wakiwemo wenye viwanda.

  mamlaka hiyo pia imeendelea kudumisha punguzo la malipo ya umeme kwa taa za barabarani kwa karibu nusu lililoanza kutekelezwa mwezi Septemba.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako