• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya yasaini makubaliano ya uwekezaji kwenye mafuta

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:57:45
  Kenya imesaini makubaliano na kampuni mbali mbali za mafuta ambayo yatavutia uwekezaji wa dola bilioni tatu kuendeleza uchimbaji wa bidhaa hiyo katika eneo la Turkana.

  Maafisa wa wizara ya petroli wamekuwa mjini London Uingereza kukamilisha mazungmzo mbele ya kusainiwa kwa makubaliano hayo.

  Mwezi Juni Kenya pia ilisaini makubaliano na kamupni ya uchimbaji za Tullow, Total na Africa Oil, kuhusu taratibu za uwekezaji kwenye sekta hiyo.

  Tayari Kenya imeuza sehemu ya mafuta yake ghafi, mapipa 250,000 kwenye soko la kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako