• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yapata mkopo wa dola milioni 450 kutoka benki ya dunia

  (GMT+08:00) 2019-10-08 18:58:24
  Benki ya Dunia (WB) imeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa Dola 450 za Marekani (Sh1.035 trilioni) kwa ajili ya mpango wa kunusuru kaya maskini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) awamu ya tatu.

  Katibu mkuu Wizara ya Fedha, Dotto James alisema tofauti na kipindi cha kwanza msisitizo wa kipindi cha pili ni kuimarisha uwezo wa walengwa kufanya kazi kwa kuwezesha kaya masikini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako