• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania kuandaa mashindano ya Cecafa kwa upande wa Wanawake

  (GMT+08:00) 2019-10-09 10:33:38

  Mashindano ya Cecafa kwa upande wa Wanawake yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Novemba 16 mpaka Novemba 28 jijini Dar es Salaam. Tanzania watakuwa wenyeji katika mashindano hayo na maandalizi yameshaanza kufanyiwa kazi mapema. Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo amesema timu itaingia kambini wiki ijayo kwaajili ya mashindano hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako