• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China aenda India kuhudhuria mkutano na kufanya ziara nchini Nepal

  (GMT+08:00) 2019-10-09 18:46:34

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bi. Hua Chunying amesema, rais Xi Jinping wa China atakwenda nchini India na Nepal kuanzia tarehe 11 hadi tarehe 13 mwezi huu.

  Bi. Hua Chunying amesema, rais Xi atahudhuria mkutano wa pili usio rasmi na viongozi wa nchi hizo mbili, na pia atafanya zaira nchini Nepal.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako