• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maadhimisho ya Vyama vya Ushirika yafanyika mjini Arusha.

  (GMT+08:00) 2019-10-09 19:08:22
  Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vyama vya Ushirika (Saccos) yalifanyika leo jijini Arusha.

  Kaulimbiu ya mwkaa huu ni "huduma za kijamii,kuufikia ulimwengu".

  Maadhimisho hayo ambayo yalifaa yafunguliwe jana,badala yake yalifunguliwa leo na Kaimu Mrajis Mkuu wa Vyama vya Ushirika nchini Tanzania ,Tito Haule.

  Vyama hivyo pamoja na mambo mengine vilitafakari na kushirikishana namna bora ya kufanikisha azma ya utoaji wa huduma bora na jumuishi za kifedha kwa watanzania.

  Maadhimisho hayo kwa Tanzania yametangulia kufanyika ili kutoa fursa kwa Saccos za Tanzania kuungana na Saccos nyingine za Afrika katika maadhimisho yatakayofanyika Mombasa,Kenya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako