• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • EPL kupoteza nafasi moja kati ya nne za moja kwa moja kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya

  (GMT+08:00) 2019-10-10 09:11:50

  Ligi ya soka ya EPL italazimika kupoteza nafasi moja kati ya nne za moja kwa moja kushiriki michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya. Hiyo ni kutokana na mapendekezo mapya ya Shirikisho la Soka barani Ulaya UEFA juu ya kubadilisha muundo wa mashindano makubwa ngazi ya klabu barani humo pamoja na kutambulisha mashindano ya tatu ya vilabu. La Liga, Serie A na Bundesliga pia zitaathiriwa na mfumo huo, ambapo kuanzia msimu wa 2024 ligi hizo zitatoa nafasi tatu za moja kwa moja kuingia katika makundi ya Klabu Bingwa Ulaya na watakaoshika nafasi ya nne watalazimika kuanzia katika mchujo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako