• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga vikali Marekani kuziweka idara za polisi za Xinjiang katika "Orodha ya Makundi Yanayofuatiliwa"

    (GMT+08:00) 2019-10-10 10:28:17

    Ofisi ya Kupambana na Ugaidi ya China imepinga vikali Marekani kuziweka idara za polisi za mkoa wa Xinjiang katika "Orodha ya Makundi Yanayofuatiliwa", na kuitaka irekebishe makosa yake mara moja, kufuta uamuzi huo na kuacha kuingilia masuala ya ndani ya China. Imeongeza kuwa hatua zinazochukuliwa na mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uyghur dhidi ya ugaidi na itikadi kali, zinalenga kutokomeza maeneo yanayofuga ugaidi na zinaendana kabisa na sheria za China na kanuni za kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako