• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: ICEA Lion Group yazindua bima ya saratani

    (GMT+08:00) 2019-10-10 19:14:43

    Kampuni ya bima ya ICEA Lion Group nchini Kenya imeazindua bima ya saratani ambapo wateja watalipa dola 1.5 mwa mwezi.

    Meneja wa biashara na huduma za kiufundi kwenye kampuni hiyo George Nyakundi amesema bima hiyo mpya itasimamia upimaji, matibabu na upasuaji wa waathiriwa.

    Ripoti ya Globocan ya shirika la afya duniani mwaka jana ilionesha kuwa saratani huuwa zaidi ya watu 32, 000 kila mwaka.

    ICEA imesema imeanzisha huduma hiyo mpya ili kusaidia waathriwa ambao hawawezi kumudu gharama kubwa ya matibabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako