• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Museveni na Mnangagwa wajadili maeneo mapya ya ushirikiano katika biashara na uwekezaji

  (GMT+08:00) 2019-10-10 19:15:01

  Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mwenzake wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa anayezuru nchini humo wamejadili maeneo mapya ya ushirikiano katika biashara na uwekezaji.

  Kwenye taarifa ya pamoja iliotolewa baada ya mkutano wao viongozi hao wawili iwalisisistiza umuhimu wa eneo la soko huria la Afrika wakisema litapunguza ushuru na kuongeza nafasi zaidi za ajira huku likiwezesha bidhaa na huduma zaidi kusambaa barani humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako