• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Iraq lawaua waasi 12 wa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2019-10-10 19:39:50

    Waasi 12 wa kundi la IS wameuawa katika operesheni iliyofanywa jana na Jeshi la Iraq katika mkoa wa kaskazini Salahudin na mkoa wa Diyala mashariki mwa nchi hiyo.

    Taarifa iliyotolewa na Jeshi hilo imesema, lilifanya shambulizi la ghafla dhidi ya ngome ya kundi la IS iliyoko kaskazini magharibi mwa Tikrit, mji mkuu wa mkoa wa Salahudin, na kuwaua wapiganaji 10 wenye silaha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako