• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Iraq lawataja mawaziri wawili kama mageuzi yaliyoahidiwa ili kumaliza maandamano

    (GMT+08:00) 2019-10-11 09:10:06

    Bunge la Iraq limepiga kura kuwataja mawaziri wawili kati ya watano walioteuliwa na waziri mkuu Bw. Adel Abdul Mahdi, kama sehemu ya mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyoahidiwa ili kumaliza maandamano. Televisheni ya taifa ya al-Iraqiya imesema katika mkutano ulioongozwa na spika Mohammed al-Halbousi na kuhudhuriwa na wabunge 220, bunge liliwapigia kura Suha Khalil kuwa waziri wa elimu na Bw. Jaafar Sadiq Allawi kuwa waziri wa afya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako