Rais Xi Jinping wa China amewasili Chennai, India na kuhudhuria mkutano wa pili usio rasmi kati ya viongozi wa China na India.