• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yashirikiana na jumuiya ya kimataifa kwa kuwa na msimamo wa kufungua mlango

    (GMT+08:00) 2019-10-11 19:07:34

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, China ina msimamo wa kufungua mlango na kuwasiliana na jumuiya ya kimataifa kwenye msingi wa kuheshimiana na kunufaishana, na kukaribisha mashirika ya nchi za nje na wageni kuja nchini China na kufanya mawasiliano na ushirikiano.

    Bw. Geng Shuang amesema kuwa, China inafanya maandalizi kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya mwaka 2022, na maandalizi yanaendelea vizuri. Ameongeza kuwa, China inawakaribisha wachezaji na makocha kutoka nchi mbalimbali kuja nchini China na kujiunga na mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako