Waziri wa madini nchini humo Winston Chitando amesema juhudi hizo zitafanikishwa na kampuni nne zikiwemo Alrosa na kampuni ya China ya Anjin.
Waziri Chitando pia amesema nchi hiyo inapania kuvutia wawekezaji zaidi kwenye sekta ya madini ili kukuza uchumi wake, kufungua nafasi za ajira na kuongezea mapato ya kigeni.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |