• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan: Sudan yatakiwa kulipa madeni yake kabla ya mikopo au misaada zaidi

    (GMT+08:00) 2019-10-15 16:55:33
    Benki ya dunia imeitaka Sudan kulipa deni la doa bilioni 16 inayodaiwa na wakopeshaji .

    Mkurungezi wa benki hiyo katika nchi za Ethiopia, Eritrea, Sudan na Sudan Kusini , Kari Turk, amesema itakuwa vigumu kwa taasisi za kifedha duniani kutoa misaada kwa Sudan ikiwa haitalipa deni hilo.

    Matakwa hayo ya benki ya dunia yanamaanisha kuwa Sudan haiwezi kupata msaada wowote ila tu wa kibinadam kutoka kwa mashirika ya kimataifa.

    Waziri mkuu mpya wa Sudan Abdalla Hamdok ameomba kusamehwa kwa baadhi ya madeni ya nchi yake ili kuiwezesha kupata mikopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako