• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kundi la viwanda la Zambia latoa mwito wa uwekezaji zaidi wa China katika sekta ya kilimo

  (GMT+08:00) 2019-10-16 08:48:40

  Wakulima wa kibiashara wa China wametakiwa kutafuta fursa katika sekta ya kilimo ya Zambia kutokana na kuimarisha na kuendeleza viwanda.

  Mwenyekiti wa kundi la kaskazini magharibi la biashara na viwanda la Zambia Bw. Mukumbi Kafuta, ametaka kuwe na uwekezaji zaidi wa China nchini humo ili kuisaidia nchi hiyo kuwa kitovu cha kilimo na uzalishaji wa chakula katika kanda ya kusini mwa Afrika.

  Amesema wachina wanaweza kuwekeza katika teknolojia mbalimbali ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Zambia, hasa katika suala la mabadiliko ya tabianchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako