• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vyama vyenye mapambano vya Sudan vyaonesha matumaini kuhusu kumaliza migogoro ya miaka mingi

  (GMT+08:00) 2019-10-16 09:01:38

  Serikali ya mpito ya Sudan na makundi yenye silaha wameeleza matumaini juu ya kumaliza migogoro uliodumu kwa miaka mingi, wakati pande zinazopambana zikilitaja pendekezo lililotolewa Sudan Kusini kuwa ni "mchakato kutoka ndani". Mkuu wa baraza la utawala nchini Sudan Bw. Abdel Fattah Al-Burhan, amesema mchakato huo utashughulikia chanzo cha mgogoro, akieleza kuwa Juba ni mahali mwafaka pa kufanyia mazungumzo. Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini alipendekeza kufanya usuluhishi kati ya pande zinazopambana nchini Sudan baada ya mgogoro wa kisiasa uliodumu kwa mwaka mmoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako