• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Malawi yakanusha ripoti kuhusu mgonjwa wa kwanza wa Ebola

  (GMT+08:00) 2019-10-16 09:02:02

  Mamlaka ya afya ya Malawi imekanusha ripoti za uwongo kwamba mtu mmoja amegunduliwa kuwa na Ebola kwenye eneo la Karonga linalopakana na Tanzania. Hofu hiyo ilitokea Jumapili wakati wafanyakazi wa afya kwenye eneo hilo waligundua mwanamume mwenye umri wa miaka 37 kuwa na dalili za Ebola. Ofisa wa afya wa nchi hiyo Bw. Louis Tukula amesema mtu huyo alikuwa na maambukizi ya bakteria na si Ebola.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako