• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NDONDI: Mwakinyo, Mfilipino kuvaana Uwanja wa Uhuru

  (GMT+08:00) 2019-10-16 16:43:12

  Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo anatarajia kupanda ulingoni Novemba 29 mwaka huu jijini Dar es Salaam Tanzania kupambana na bondia raia wa Ufilipino, Any Tinampay. Pambano hilo la kimataifa la uzito wa Super Walter litakuwa la raundi 10 huku likitanguliwa na mapambano ya utangulizi kutoka kwa mabondia wa ndani nan je ya nchi. Akizungumza jana jijini Dar, Mwakinyo amesema amekubali kucheza pambano hilo la kimataifa kutokana na utayari wake wa kupata changamoto mpya.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako