• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mtaalamu asema Zambia inatakiwa kujitangaza katika maonesho ya CIIE ya China

  (GMT+08:00) 2019-10-17 09:11:05

  Mwenyekiti wa chama cha biashara na viwanda cha Chililabombwe Bw. Nelson Musonda, amesema Zambia inatakiwa kufanya juhudi kuvutia uwekezaji wa kigeni katika maonesho ya pili ya kimataifa ya bidhaa zinazoingizwa ya China CIIE.

  Bw. Musonda amesema wataalamu wa Zambia wanatakiwa kutangaza kwa nguvu sekta za nishati, kilimo na utalii. Pia amesema, sekta hizo tatu za kiuchumi zinatakiwa kutangazwa kutokana na fursa nyingi za uwekezaji.

  Ameongeza kuwa katika sekta ya kilimo, kwa mfano makampuni ya China yanakaribishwa kuleta mashine kwa nchi hiyo kuongeza uzalishaji.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako